January 2018



Karibu mpenzi msomaji, leo tunakwenda kijifunza jinsi ya kutengeneza Flash na Memory Card iliyoshambuliwa na virus kwa kutumia CMD, kuyafamu haya ungana nami kwa kufuata hatua zifuatazo:-

HATUA
Ø Chomeka Flash au Memory Card yako iliyoshambuliwa na Virus kwenye Computer.


Ø Bonyeza start button Andika “CMD” na bonyeza kitufe cha “enter



Ø Andika “Disk Part” na ubonyeze kitufe cha “enter




Ø Andika “List Disk” na bonyeza kitufe cha “enter” na uchague disk 1




Ø Andika “Clean” alafu bonyeza kitufe cha “enter


Ø Andika “Create Partition Primary” na bonyeza kitufe cha “enter


Ø Andika “Active” Alafu bonyeza kitufe cha “enter


Ø Andika “Select Partition 1” na bonyeza kitufe cha “enter”


Ø Andika “Format fs=fat32” na bonyeza kitufe cha “enter” ili ku-format.






Ø Andika “exit” ili kufunga CMD na uanze kutumia flash / Memory Card yako.





Kwa kujifunza zaidi tafadhali download hapo chini.




Kwa maoni, ushauri, mapendekezo au msaada kuhusu chapisho hili, usisite kutuandikia hapo chini katika kisanduku cha maoni nasi tutayafanyia kazi.




Karibu sana mpenzi msomaji, ni siku nyingine tena tunakutana, kwa siku ya leo tunakwenda kujifunza hatua tatu ambazo unaweza ukazifanya kwenye computer yako ili kuifanya computer yako iwe na performance inayotakiwa, kuyafahamu yote haya basi ongozana nami katika hatua zifuatazo:-


Hatua ya kwanza
·        Bonyeza start button

·        Andika neno “RUN” kwenye search box na Bonyeza kitufe cha “enter

·        Andika neno “%temp%” likiwa na alama ya asilimia kila upande, kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini na Bonyeza kitufe cha “enter” au “Ok

·        Chagua file zote ambazo zimeonekana hapo kwa kubonyeza kitufe cha “crtl” pamoja na “A” kwa pamoja (crtl+A).


·        Delete files hizo ulizozichagua.

·        Weka alama ya tiki na Bonyeza option ya “skip

Hatua ya Pili
·        Bonyeza start button

·        Andika neno “RUN” kwenye search box na Bonyeza kitufe cha “enter


·        Andika neno “prefetch” kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini na Bonyeza kitufe cha “enter” au “Ok”.

·        Bonyeza kitufe cha “enter” au “Continue” ili kuendelea hatua inayofuata.


·        Chagua file zote ambazo zimeonekana hapo kwa kubonyeza kitufe cha “crtl” pamoja na “A” kwa pamoja (crtl+A).

·        Delete files hizo ulizozichagua.

Hatua ya Tatu
·        Bonyeza start button

·        Andika neno “Disk cleanup” kwenye search box na Bonyeza kitufe cha “enter”

·        Bonyeza kitufe cha ‘enter” au “Ok” ili kuendelea.

·        Mwisho kabisa, weka alama ya tiki sehemu zote kama inavyoonekana hapo kwenye picha hapo chini na Bonyeza kitufe cha “enter” au “Ok”.


Mpaka hapo ni matumaini yangu utakuwa umejifunza  na ahsante kwa kuwa nasi, kama una maoni, mapendekezo pamoja na ushauri usisite kutuandikia  hapo chini kwenye sehemu ya comment


Kwa kujifunza zaidi tafadhali download hapo chini
2.86 MB


Kwa maoni, ushauri, mapendekezo au msaada kuhusu chapisho hili, usisite kutuandikia hapo chini katika kisanduku cha maoni nasi tutayafanyia kazi.


Karibu sana katika tovuti yetu ya Hajumo Tech leo tunaenda kujifunza ni kwa jinsi ya kulinda machapisho yako kwenye blog, ambayo itamzuia mtumiaji wa blog yako asiweze kucopy machapisho yako, Ongazana nasi katika darasa hili kwa hatua zifuatazo:-
Hatua

•        Fungua dashboard ya blog yako


•        Ingia kwanye sehemu iliyoandikwa theme


•        Bofya sehemu ya Edit HTML


•        copy hizo code hapo chini na paste kwenye HEAD section

<head>  code za hapo chini uziweke hapa……..</head>

<script type="text/javascript">
function disableSelection(target){
if (typeof target.onselectstart!="undefined") //IE route
 target.onselectstart=function(){return false}
else if (typeof target.style.MozUserSelect!="undefined") //Firefox route
 target.style.MozUserSelect="none"
else //All other route (ie: Opera)
 target.onmousedown=function(){return false}
target.style.cursor = "default"
}
//Sample usages
//disableSelection(document.body) //Disable text selection on entire body
//disableSelection(document.getElementById("mydiv")) //Disable text selection on element with id="mydiv" 
</script>

•        Baada ya hapo nenda hadi chini juu ya </body>  paste code hizi hapa chini.

<script type="text/javascript">
var somediv=document.getElementById("mydiv")
disableSelection(somediv) //disable text selection within DIV with id="mydiv"
</script>
<script type="text/javascript">
disableSelection(document.body) //disable text selection on entire body of page
</script>

•        Baada ya hapo sava theme, alafu ingia kwenye blog yako ujaribu kuselect
Post, hapo utakuwa umezuia mtu  kucopy post zako.




Kwa kujifunza zaidi bofya hapo chini kudownload code

1.28 MB


Kwa maoni, ushauri, mapendekezo au msaada kuhusu chapisho hili, usisite kutuandikia hapo chini katika kisanduku cha maoni nasi tutayafanyia kazi.

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget