Karibu sana katika tovuti yetu ya Hajumo Tech leo tunaenda kujifunza ni kwa jinsi ya kulinda machapisho yako kwenye blog, ambayo itamzuia mtumiaji wa blog yako asiweze kucopy machapisho yako, Ongazana nasi katika darasa hili kwa hatua zifuatazo:-
Hatua
• Fungua
dashboard ya blog yako
• Ingia
kwanye sehemu iliyoandikwa theme
• Bofya
sehemu ya Edit HTML
• copy
hizo code hapo chini na paste kwenye HEAD section
<head> code za hapo chini uziweke hapa……..</head>
<script type="text/javascript">
function disableSelection(target){
if (typeof
target.onselectstart!="undefined") //IE route
target.onselectstart=function(){return false}
else if (typeof
target.style.MozUserSelect!="undefined") //Firefox route
target.style.MozUserSelect="none"
else //All other route (ie: Opera)
target.onmousedown=function(){return false}
target.style.cursor = "default"
}
//Sample usages
//disableSelection(document.body) //Disable text
selection on entire body
//disableSelection(document.getElementById("mydiv"))
//Disable text selection on element with id="mydiv"
</script>
• Baada
ya hapo nenda hadi chini juu ya </body> paste code hizi hapa chini.
<script type="text/javascript">
var
somediv=document.getElementById("mydiv")
disableSelection(somediv) //disable text selection
within DIV with id="mydiv"
</script>
<script type="text/javascript">
disableSelection(document.body) //disable text
selection on entire body of page
</script>
• Baada
ya hapo sava theme, alafu ingia kwenye blog yako ujaribu kuselect
Post, hapo utakuwa umezuia mtu kucopy post zako.
Post a Comment